TANGANYIKA STUDENT BEST HISTORIES

 Raisi Mstaafu wa mwaka 2017/2018.Akiwa katika mbuyu wenye Historia zaidi ya miaka 300 uliopo jijini Bagamoyo.Pia atoa pole kwa wagongjwa wote walioko mahospitalini na majumbani wanauguwa ugonjwa huu hatari kwa jina la CORONA/COVID19. Pia kuwapa pole wanafunzi wenzake wa Tanganyika Open School  kwa kutoendelea na masomo yao ya awali anawaombea kwa mungu ugonjwa huu uishe ili Elimu ipatikane kwa urahisi.
 Raisi wa awamu ya 17,Akiwa na Mkuu wa Shule Mr Denis Kapama katika jengo la Bagamoyo moja wapo lenye Historia za kale


WELCOME TANGANYIKA A PLACE WHERE YOU CAN MAKE YOUR HISTORY WITH US

Post a Comment

2 Comments

Unknown said…
�😂😂😂😂 sikuwezi bhana.... But thank you TECC for changing my life always in my mind Kapama's product
thanks back to u also for your charm