Kituo cha Michezo cha Tanganyika
Reg. No. IAE/OS/0338
|
Iko
katika Eneo la Temboni, S.L.P
34336, |
+255 657 500 500 +255 717 479 085 |
FOMU YA UANDIKISHAJI
S/N
1. Jina kamili ____________________________________________________
2. (i) Tarehe ya Kuzaliwa ____________________(ii) Jinsia (Mwanaume / Mwanamke) __________
(iii) Uraia ____________________________
(iv)Dini:
______________________________
(v) Hali ya Ndoa (Single/ Married /nk) ______________________
(vi) Miaka
6. Anwani ya mawasiliano ya
mwanafunzi
(i) Simu no.___________________________ _
(ii) Mtaa ______________________
__________________Wilaya _______________________
7. Anwani ya mawasiliano ya
Mzazi/Mlezi:
(i) Jina
__________________________________________________
(ii) simu no. _ _________________
(iii) Eneo
Street______________________ __________________Wilaya _______________________
8. a) Kiwango cha juu zaidi cha
elimu kilichofikiwa. (kwa mfano, Kiwango cha Saba/
Fomu I, II, III, IV, V, nk) ..............
b: Namba ya jezi
itakayotumika kwa mchezaji huyo:
|
NAMBA YA JEZI KWA MCHEZAJI
MSIMU HUU NI. |
9. a) Kozi na muundo wa ada:
Weka tiki dhidi ya kozi unayoomba.
|
S/N |
MALIPO
YALIYOFANYWA (MARA MOJA KWA MWAKA) |
Ada ya Mwaka katika T sh. |
KUPE |
KOZI ZINAZOTOLEWA |
Mwezi Ada |
TICK |
|
|
1. |
Usajili |
40, 000/= |
√ |
1. |
Hatua
ya I:
Kwanzia miaka 4 - 8 |
T sh. 10,000/= |
|
|
2. |
Vifaa
vya mpira wa miguu |
10,000/= |
√ |
2. |
Hatua
ya I:
Kwanzia miaka 9 - 15 |
T sh. 15,000/= |
|
|
3. |
Sare
za mazoezi na mechi. |
30,000/= |
√ |
3. |
|
√ = Gharama ya lazima ambayo kila mwanafunzi mpya lazima alipe kabla
ya usajili.
b) Weka
tiki (√)
dhidi ya mda unaotaka kujiunga.
|
KIKAO CHA ASUBUHI (07:00 asubuhi - 10:00 asubuhi) |
|
|
KIKAO CHA JIONI (03: 00 jioni - 12:00 jioni) |
7. (a) Njia ya Malipo
Malipo yote hufanywa kabla ya
kuanza kwa Mafunzo na mwanzo wa kila mwezi ifikapo tarehe 5 ya mwezi husika wa
mafunzo. Malipo LAZIMA yafanywe katika Ofisi ya Kituo. Risiti hutolewa
kwa kila malipo.
(b) Malipo ya awali kwa wanafunzi
wapya ni T sh. 100,000/= na baada ya apo atalipa ada kwa kila mwezi unaofuata.
8. Taarifa za matibabu
d) Hospitali / Zahanati (Katika
hali ya dharura) ..............................................................
e) Jina la
Daktari ........................................... (d) Simu no.
......................................
f) Taja
Tatizo lolote kubwa la Matibabu au Tabia (k.m. Mzio, Kifafa, TB, n.k.)
………………………..………………………………………………………………………….…………………………
9. MCHEZAJI NA WAKALA WAKE.
1. Muda wa mkataba
1.1. Mkataba huu utakuwa wa miaka/mwaka/miezi ……….
Kuanzia hadi mnamo isipokuwa pale utakapositishwa kama
ilivyoelezwa katika kifungu……………. Cha mkataba huu
2. Huduma
2.1. Mchezaji wa mpira wa miguu amekubali kujifunza
mpira katika Kituo cha tanganyika YOUTH SPORTS CENTRE ili kufanikisha hilo
mchezaji amekubali kuhudhuria vipindi vyote vya mazoezi na mechi zote.
Zitakazoratibiwa na Kituo, kudumisha utimamu wa kimwili na kuzingatia sera na
maagizo ya Kituo.
2.2. Mchezaji anakubali kutii sheria na kanuni zote
zilizowekwa na mabaraza ya wasimamizi wa mpira wa miguu nchini tanzania na
sehemu zote timu itakapokuwa, ikijumuisha kwa tff, caf, fifa na ligi ambazo
kilabu itashiriki.
3. Malipo/posho
3.1. Mchezaji amekubali kulipia tsh kwa mwezi kuwa ni ada ya
mafunzo katika Kituo.
3.2. Kituo kinamuahidi mchezaji kuwa pale ambapo
patapatikana mdhamini na kuanza kuingiza fedha Kituo kitaanza kumlipa mchezaji
huyo na kutimiza mahitaji yote ya shughuli za kifedha. Kama itakavokubaliwa na
pande zote mbili.
4. Majukumu ya Kituo
4.1. Kituo kitahakikisha mchezaji anapata vifaa
vyote vya muhimu vya kufanyia mazoezi kama vile mipira, koni, sare za mazoezi
na mechi, uwanja pamoja na mda rasmi wa mazoezi.
4.2. Kituo kitapambana mchezaji apate nafasi za
majaribio kwa timu kubwa zinazoshiriki ligi za tanzania, pia kumtambulisha
katika mashindano Kituo kitakachoshiriki kama vile ligi daraja la tatu n.k.
4.3. Kituo kitamlinda mchezaji na matapeli waliopo
kwenye tasnia ya mpira wapenda rushwa, na hongo ili kijana apate nafasi.
4.4. Kituo kitamsimamia kijana mpaka atakapo pata
timu na wakala atakaemuendeleza mchezaji huyo.
4.5. Kijana atapata mahitaji ya kuimarisha mwili
kama kula matunda baada ya mazoezi.
5. Kanuni za maadili.
5.1. Mchezaji anakubaliwa kujiendesha kwa njia za
kitaaluma wakati wote, ndani na nje ya uwanja, na kudumisha sifa na maadili ya Kituo.
5.2. Endapo Kituo kitakuwa na ratiba, mchezaji hata
ruhusiwa kukosa ratiba hiyo kwa madai kuwa anatumikia Kituo au timu nyingine
pasipo na makubaliano na kocha au kiongozi.
5.3. Kituo
hakitojihusisha na mwenendo wowote ambao unaweza kuletea Kituo sifa zisizo za
kupendeza. Sifa hizo ni kama vile utumiaji wa madawa ya kulevya na uvutaji wa
sigara au kilevi chochote. Pia nidhamu ya uchafu na udokozi.
5.4. Kituo kipo kwaajili ya kuinua vijana pia
kuwatoa katika makundirika, na kuwatengenezea mwenendo mzuri wa kujitafutia
fedha kama vile kuwatafutia ajira nje ya mpira, pia kuwapa elimu lika, pia
kuwaweka katika nidhamu ya heshina na upendo katika jamii.
5.5. Kituo kitakuwa kinaandaa safari za Kwenda
kuwatembelea watu wenye uhitaji na kuwapa chochote kitu kama familia yao. Hivo
vijana watakuwa wakipata mda wa kusaidia vijana wenzao kupitia kituo pia.
6. Kusitishwa kwa mkataba
6.1. Upande wowote unaweza kuvunja mkataba huu kwa
kutoa notizi ya siku 30 kwa upande mwengine, ikiwa itatokea ukiukwaji wa
vipengele vya mkataba huu, au pale mchezaji atakapo kuwa nje ya uwanja kwa muda
usiojulikana.
6.2. Kituo inaweza kusitisha mkataba huu mara moja
katika tukio la utovu wa nidhamu mkubwa wa mchezaji, ikijumuisha vitendo vya
vurugu, ukiukaji wa matumizi ya dawa za kusisimua misuli au ukiukaji wa mara
kwa mara wa sera za Kituo, kurukwa kwa akili kwa mchezaji na yote yatakayokuwa
nje ya makubaliano.
7. Sheria
7.1. Mkataba huu utaongozwa na kutafsiriwa na sheria
za jamhuri ya muungano wa tanzania
7.2. Utatuzi wa mgogoro wowote baina ya Kituo na
mchezaji utatatuliwa kwa njia ya usuluhishi ndani ya Kituo. Endapo upande mmoja
hautaridhika basi utaratibu wa kisheria utafatwa.
8. Mimi nimekubali kujiunga na tanganyika YOUTH
SPORTS CENTRE kwa akili zangu na bila kushawishiwa na mtu yoyote. Pia nmekubali
kufata sheria na kanuni za timu kama isemavyo pamoja na tff kwa ujumla. Hivo
ntakuwa nikilipa ada ya mafunzo kwa mwezi.
10. MZAZI/MLEZI
Mkataba utaanza kutumika baada ya mchezaji
kukubali vigezo na masharti ya timu pia baada ya kusaini mkataba huu ambao ni
Baina ya Tanganyika, yenye makazi yake kimara
suka, ubungo, Dar es salaam. (katika timu atajulikana kama mchezaji kwa
jina
Anaeishi
mwenye nambari ya simu
Na kitambulisho cha nida
cha mzazi au mlezi
11. Azimio
la Mwanafunzi:
Kwa hivyo ninatangaza kwamba taarifa
niliyotoa kwenye fomu hii ni ya kweli na nitatii sheria na kanuni za taasisi
hii.
Saini ya mwanafunzi..................................
Tarehe...................................
|
12. KWA MATUMIZI RASMI TU Mimi.....................................................................
(Jina la Msajili). Kwa hivyo kutangaza kwamba hapo juu mwombaji ametimiza
mahitaji yote kuhusu usajili wa wanafunzi na kwa hivyo mwombaji ni kukubaliwa kwa.............................................
Bila shaka. Nambari yake ya Kiingilio ni..................... Saini ya Msajili................................. Tarehe............................. |
0 Comments