Kituo cha Michezo cha Tanganyika
HOME OF TALENT INTELLECTUAL
Reg. No. IAE/OS/0338
Iko katika Eneo la Temboni, S.L.P 34336, |
+255 657 500 500 +255 717 479 085 |
FOMU YA UANDIKISHAJI
S/N
1. Jina kamili ____________________________________________________
2. (i) Tarehe ya Kuzaliwa ____________________(ii) Jinsia (Mwanaume / Mwanamke) __________
(iii) Uraia ____________________________ (iv)Dini: ______________________________
(v) Hali ya Ndoa (Single/ Married /nk) ______________________
(vi) Miaka
6. Anwani ya mawasiliano ya mwanafunzi
(i) Simu no.___________________________ _
(ii) Mtaa ______________________ __________________Wilaya _______________________
7. Anwani ya mawasiliano ya Mzazi/Mlezi:
(i) Jina __________________________________________________
(ii) simu no. _ _________________
(iii) Eneo Street______________________ __________________Wilaya _______________________
8. a) Kiwango cha juu zaidi cha elimu kilichofikiwa. (kwa mfano, Kiwango cha Saba/ Fomu I, II, III, IV, V, nk) ..............
b: Namba ya jezi itakayotumika kwa mchezaji huyo:
NAMBA YA JEZI KWA MCHEZAJI MSIMU HUU NI. |
9. a) Kozi na muundo wa ada: Weka tiki dhidi ya kozi unayoomba.
S/N |
MALIPO YALIYOFANYWA (MARA MOJA KWA MWAKA) |
Ada ya Mwaka katika T sh. |
KUPE | KOZI ZINAZOTOLEWA |
Mwezi Ada |
TICK | |
1. |
Usajili |
40, 000/= |
√ |
1. | |||
2. | Vifaa vya mpira wa miguu |
10,000/= |
√ |
2. | |||
3. | Sare za mazoezi na mechi. | 30,000/= |
√ | 3. | Hatua ya II:Kwanzia miaka 16 - 20 | T sh. 25,000/= |
|
√ = Gharama ya lazima ambayo kila mwanafunzi mpya lazima alipe kabla ya usajili.
b) Weka tiki (√) dhidi ya mda unaotaka kujiunga.
KIKAO CHA ASUBUHI (07:00 asubuhi - 10:00 asubuhi) | |
KIKAO CHA JIONI (03: 00 jioni - 12:00 jioni) |
7. (a) Njia ya Malipo
Malipo yote hufanywa kabla ya kuanza kwa Mafunzo na mwanzo wa kila mwezi ifikapo tarehe 5 ya mwezi husika wa mafunzo. Malipo LAZIMA yafanywe katika Ofisi ya Kituo. Risiti hutolewa kwa kila malipo.
(b) Malipo ya awali kwa wanafunzi wapya ni T sh. 100,000/= na baada ya apo atalipa ada kwa kila mwezi unaofuata.
8. Taarifa za matibabu
d) Hospitali / Zahanati (Katika hali ya dharura) ..............................................................
e) Jina la Daktari ........................................... (d) Simu no. ......................................
f) Taja Tatizo lolote kubwa la Matibabu au Tabia (k.m. Mzio, Kifafa, TB, n.k.)
………………………..………………………………………………………………………….…………………………
9. MCHEZAJI NA WAKALA WAKE.
1. Muda wa mkataba
1.1. Mkataba huu utakuwa wa miaka/mwaka/miezi ………. Kuanzia hadi mnamo isipokuwa pale utakapositishwa kama ilivyoelezwa katika kifungu……………. Cha mkataba huu
2. Huduma
2.1. Mchezaji wa mpira wa miguu amekubali kujifunza mpira katika Kituo cha tanganyika YOUTH SPORTS CENTRE ili kufanikisha hilo mchezaji amekubali kuhudhuria vipindi vyote vya mazoezi na mechi zote. Zitakazoratibiwa na Kituo, kudumisha utimamu wa kimwili na kuzingatia sera na maagizo ya Kituo.
2.2. Mchezaji anakubali kutii sheria na kanuni zote zilizowekwa na mabaraza ya wasimamizi wa mpira wa miguu nchini tanzania na sehemu zote timu itakapokuwa, ikijumuisha kwa tff, caf, fifa na ligi ambazo kilabu itashiriki.
3. Malipo/posho
3.1. Mchezaji amekubali kulipia tsh kwa mwezi kuwa ni ada ya mafunzo katika Kituo.
3.2. Kituo kinamuahidi mchezaji kuwa pale ambapo patapatikana mdhamini na kuanza kuingiza fedha Kituo kitaanza kumlipa mchezaji huyo na kutimiza mahitaji yote ya shughuli za kifedha. Kama itakavokubaliwa na pande zote mbili.
4. Majukumu ya Kituo
4.1. Kituo kitahakikisha mchezaji anapata vifaa vyote vya muhimu vya kufanyia mazoezi kama vile mipira, koni, sare za mazoezi na mechi, uwanja pamoja na mda rasmi wa mazoezi.
4.2. Kituo kitapambana mchezaji apate nafasi za majaribio kwa timu kubwa zinazoshiriki ligi za tanzania, pia kumtambulisha katika mashindano Kituo kitakachoshiriki kama vile ligi daraja la tatu n.k.
4.3. Kituo kitamlinda mchezaji na matapeli waliopo kwenye tasnia ya mpira wapenda rushwa, na hongo ili kijana apate nafasi.
4.4. Kituo kitamsimamia kijana mpaka atakapo pata timu na wakala atakaemuendeleza mchezaji huyo.
4.5. Kijana atapata mahitaji ya kuimarisha mwili kama kula matunda baada ya mazoezi.
5. Kanuni za maadili.
5.1. Mchezaji anakubaliwa kujiendesha kwa njia za kitaaluma wakati wote, ndani na nje ya uwanja, na kudumisha sifa na maadili ya Kituo.
5.2. Endapo Kituo kitakuwa na ratiba, mchezaji hata ruhusiwa kukosa ratiba hiyo kwa madai kuwa anatumikia Kituo au timu nyingine pasipo na makubaliano na kocha au kiongozi.
5.3. Kituo hakitojihusisha na mwenendo wowote ambao unaweza kuletea Kituo sifa zisizo za kupendeza. Sifa hizo ni kama vile utumiaji wa madawa ya kulevya na uvutaji wa sigara au kilevi chochote. Pia nidhamu ya uchafu na udokozi.
5.4. Kituo kipo kwaajili ya kuinua vijana pia kuwatoa katika makundirika, na kuwatengenezea mwenendo mzuri wa kujitafutia fedha kama vile kuwatafutia ajira nje ya mpira, pia kuwapa elimu lika, pia kuwaweka katika nidhamu ya heshina na upendo katika jamii.
5.5. Kituo kitakuwa kinaandaa safari za Kwenda kuwatembelea watu wenye uhitaji na kuwapa chochote kitu kama familia yao. Hivo vijana watakuwa wakipata mda wa kusaidia vijana wenzao kupitia kituo pia.
6. Kusitishwa kwa mkataba
6.1. Upande wowote unaweza kuvunja mkataba huu kwa kutoa notizi ya siku 30 kwa upande mwengine, ikiwa itatokea ukiukwaji wa vipengele vya mkataba huu, au pale mchezaji atakapo kuwa nje ya uwanja kwa muda usiojulikana.
6.2. Kituo inaweza kusitisha mkataba huu mara moja katika tukio la utovu wa nidhamu mkubwa wa mchezaji, ikijumuisha vitendo vya vurugu, ukiukaji wa matumizi ya dawa za kusisimua misuli au ukiukaji wa mara kwa mara wa sera za Kituo, kurukwa kwa akili kwa mchezaji na yote yatakayokuwa nje ya makubaliano.
7. Sheria
7.1. Mkataba huu utaongozwa na kutafsiriwa na sheria za jamhuri ya muungano wa tanzania
7.2. Utatuzi wa mgogoro wowote baina ya Kituo na mchezaji utatatuliwa kwa njia ya usuluhishi ndani ya Kituo. Endapo upande mmoja hautaridhika basi utaratibu wa kisheria utafatwa.
8. Mimi nimekubali kujiunga na tanganyika YOUTH SPORTS CENTRE kwa akili zangu na bila kushawishiwa na mtu yoyote. Pia nmekubali kufata sheria na kanuni za timu kama isemavyo pamoja na tff kwa ujumla. Hivo ntakuwa nikilipa ada ya mafunzo kwa mwezi.
10. MZAZI/MLEZI
Mkataba utaanza kutumika baada ya mchezaji kukubali vigezo na masharti ya timu pia baada ya kusaini mkataba huu ambao ni
Baina ya Tanganyika, yenye makazi yake kimara suka, ubungo, Dar es salaam. (katika timu atajulikana kama mchezaji kwa jina
Anaeishi mwenye nambari ya simu
Na kitambulisho cha nida cha mzazi au mlezi
11. Azimio la Mwanafunzi:
Kwa hivyo ninatangaza kwamba taarifa niliyotoa kwenye fomu hii ni ya kweli na nitatii sheria na kanuni za taasisi hii.
Saini ya mwanafunzi.................................. Tarehe...................................
12. KWA MATUMIZI RASMI TU
Mimi..................................................................... (Jina la Msajili). Kwa hivyo kutangaza kwamba hapo juu
mwombaji ametimiza mahitaji yote kuhusu usajili wa wanafunzi na kwa hivyo mwombaji ni
kukubaliwa kwa............................................. Bila shaka. Nambari yake ya Kiingilio ni.....................
Saini ya Msajili................................. Tarehe.............................
|
0 Comments