TANGANYIKA OPEN SCHOOL AND THE CHANGE MAKER


Shule huria imeingia mkataba na Taasisi ya kusaidia na kutoa ushauri kwa jamii {THE CHANCE MAKERS}. Iliyopo Arusha, hivyo watakuwa wakisaidiana kwa kila Hali. Pia Tanganyika open school imeteuliwa kuwa moja ya ubalozi wa Taasisi jijini Dar es salaam

Post a Comment

0 Comments