3 October 2020

 


Mwalimu kapama alifariki tarehe 13/1/2020 na alizikwa tarehe 16/1/2020. Huyo wa kulia ndio mwalimu kapama na wa kushoto ni mtoto wake wa 3. Mwalimu kapama ameacha shule huria hiitwayo tanganyika open school kwa matangazo ya shule pitia ukurasa wa Instagram @kapa490 pia mwalimu kapama ameacha familia ya mke mmoja na watoto wanne wote wakiume

Mungu ailaze roho yake mahali pema peponi 

Post a Comment

0 Comments