TANGANYIKA`S ADVERTISEMENT


Familia ya Mr denis kapama inapenda kutangaza/kutoa pole kwa Wanafunzi pamoja na Dunia kiujumla kwa janga hili lilikumba Dunia tangu mwaka jana. salamu hizi zimetolewa na mama {mke wa kapama} pamoja na watoto wake wanne.
   pia kama watawala wa shule huria ya Tanganyika wanatangaza kuta kuwa na ukumbusho wa marehemu Denis kapama aliefariki tarehe 13/1/2020 baada ya janga hili la Corona kuisha.
Salamu hizi ziafikie wanafunzi wote wa Tanganyika open school pamoja dunia kiujumla.


kwa maelezo zaidi:-
                                      +255 676 352 637
                                      +255 687 252 525

Post a Comment

0 Comments