TANGANYIKA THE HOME OF TALENTS

Mwanafunzi wa Tanganyika wa 2010 akiwa ameshinda taji la mitindo kwa upande wa wanawake. pia akitunukiwa zawadi mbali mbali na utawala wa shule pamoja na wanafunzi wenzake katika mahafali ya kidato cha nne 2010
  















washindi walioshinda mashindano ya mitindo kwa upande wa wanawake wakipigia picha na mkuu wa shule pamoja na walimu wa Tanganyika



washindi wa mitindo kwa wanaume mwaka 2013 kwenye mahali yao ya kidato cha nne katika shule huria ya Tanganyika 


 




 

Post a Comment

0 Comments