TECC SPORTS AND ENTERTAINMENT

Baadhi ya Walimu wa shule ya Tanganyika mwaka 2019 wakiwa na baadhi ya Wanafunzi wakijiandaa kwenda kucheza mpila wa miguu dhidi ya kwao wao wenyewe.Ambae hii mechi mshindi alichukua dazeni za juisi na washindi walikuwa walimu wa shule hiyo.Inapendeza kuona walimu na wanafunzi kushilikianan katika masomo pia michezo sababu ujenga ukaribu wa wao kutovunjiana heshima na kukoseana adabu.
Mzazi mlete sasa mwanao katika shule huria ya tanganyika apate maadili mema na ya kukupendeza wewe mzazi.wahi sasa ujachelewa
                                                   AHSANTE

Post a Comment

0 Comments