Mwanafunzi wa Tanganyika aliye kuwa kiongozi wa michezo mwaka 2005 akiwa amebeba jezi za shule tayali kwenda michezoni
 Timu ya walimu wa tanganyika wakiwa katika picha ya pamoja na tayali kucheza na Timu ya Wanafunzi ya shule
 Mwalimu Denis Kapama ambaye ndio mwanzilishi wa shule ya Tanganyika akijiandaa kechezesha mechi ya wanafunzi wa Tanganyika dhidi ya walimu wa Tanganyika

Baada ya michezo wanafunzi na walimu wakiwa katika mapumziko ya muda kabla ya kujiandaa kurudi shuleni