SHULE HURIA YA TANGANYIKA INATOA POLE KWA WAGONGWA WA CORONA NA PIA KWA WATANZANIA WOTE

Shule huria ya Tanganyika inapenda kutoa pole kwa wagonjwa wote wa wa {COVID19}.Au kwa jina lingine CORONA.Mungu awalinde na kuwaepusha na mahangaiko hayo yaliyoyakumba Dunia tangu mwaka jana na kufanya uchumi uyumbe. Pia inatoa pole kwa wanafunzi wake wa kidato cha sita waliojiandaa kufanya mtihani mwezi wa tano mwaka huu Mwenyezi Mungu awalinde na awape ujasili wa kujiamini na kukubaliana na matokea pia waweze kufanya siku watakayo pangiwa na serikali.
pole hii imetoka katika utawala wa shule hiyo huria ya Tanganyika
MUNGU IBARIKI TANZANIA MUNGU IBARIKI TANGANYIAKA  
                                         AMINA.

Post a Comment

0 Comments