Wanafunzi wa shule Huria ya TANGANYIKA wakiwa kwenye matembezi mkoani lindi kutazama baadhi ya ukumbusho ulioachwa tangu enzi za kale.