TANGANYIKA OPEN SCHOOL 2020

karibu shule huria ya Tanganyika. shule hii inatangaza nafasi za masomo kwa lika zote wakubwa kwa watoto tunawaomba wote mliokuwa na nia ya elimu muje kuchukua form pia mliopo mbali form zipo katika mwalimukapama.blogspot.com tunawaomba muje muwahi ili kupata kilichobora

Post a Comment

1 Comments