HAPPY MOTHERS DAY WITH TANGANYIKA OPEN SCHOOL

                                                              HAPPY MOTHERS DAY
Shule huria inawapa hongera wanawake wote duniani ambao n wazazi yaani wamama.Kama siku ya wazazi wa kike Dunia hivyo basi mkuu wa shule Mrs Kapama.Amependa kutoa sadaka kwa watoto yatima na kwenda kuwatembelea wagongwa na kuwapa elimu jinsi ya kujikinga na ugonjwa hatari ulioukumba Dunia, Ugonjwa kwa jina la Corona {COVID 19}. 
Hii inaonesha kuwa kama Taasisi binafsi bado inaushirikiano na jamii kiujumla 
                                     HERI YA WAMAMA WOTE DUNIANI AHSANTE

Post a Comment

2 Comments