TANGANYIKA TOURS

Baadhi ya Wanafunzi wa Tanganyika wakiwa katika utalii wa kutembelea moja ya sehemu muhimu katika historia.Wakijifunza baadhi ya vitu vya kale katika mkoa wa Lindi
 Raisi wa shule huria ya Tanganyika wa mwaka 2019 akiwa na kiongozi wa Taaluma pamoja na kiongozi wa michezo katika safari yao ya utalii wa kimasomo
Wanafunzi wakiwa wamepiga picha ya kumbukimbu baada ya masomo yao ya mambo ya kale mkoani lindi

Post a Comment

0 Comments